Fomu za Vizazi, Vifo na Ndoa
- Maombi ya kuandikisha kuzaliwa kwa mtoto aliyechelewa kuandikishwa. Bofya hapa kupakua Fomu ya BD 15
- Maombi ya kuandikisha kuzaliwa kwa mtoto wa umri wa zaidi ya miaka 10. Bofya hapa kupakua Fomu ya BD 15
- Maombi ya usajili wa kifo chini ya kanuni ya 3 ya kanuni za Usajili wa Vizazi na Vifo.Bofya hapa kupakua Fomu ya BD. 6
- Maombi ya kibali/idhini ya mahali pa kufungia ndoa. Bofya hapa kupakua Fomu ya RGM. 4
- Ombi la kuandikisha ndoa iliyofungiwa nchi za nje. Bofya hapa kupakua Fomu ya RGM. 11
- Ombi la shahada kutokuwapo pingamizi. Bofya hapa kupakua Fomu ya RGM. 12
- Maombi ya leseni ya kufungisha ndoa. Bofya hapa kupakua Fomu ya RGMF. 2
- Maombi ya Kibali Maalumu cha Msajili Mkuu. Bofya hapa kupakua Fomu ya RGMF. 9
- Maelekezo ya habari ya ndoa na ombi la kuandikisha ndoa Bofya hapa kupakua Fomu ya RGM. 7
- Maombi ya Usajili wa ndoa isiyowahi kusajiliwa. Bofya hapa kupakua Fomu ya RGM. 18
- Maombi ya kusajili Muunganisho wa Wadhamini. Bofya hapa kupakua Fomu ya TI.1 na Bofya hapa kupakua Fomu ya TI.1-annexture
- Maombi ya Uthibitisho wa Mabadiliko ya Jina la muunganisho wa wadhamini. Bofya hapa kupakua Fomu ya TI.2
- Taarifa ya mabadiliko ya Jina. Bofya hapa kupakua Fomu ya T1.3
- Taarifa ya mabadiliko ya au inayohusu wadhamini. Bofya hapa kupakua Fomu ya TI.4
- Marejesho ya wadhamini. Bofya hapa kupakua Fomu ya TI.5
- Taarifa ya mabadiliko ya anwani ya posta. Bofya hapa kupakua Fomu ya TI.6
- Taarifa ya mabadiliko ya dhamana / katiba. Bofya hapa kupakua Fomu ya TI.7
Wosia.
- Fomu ya kutunzia Wosia bofya hapa kupakua fomu ya kutunzia wosia
