Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Makabidhiano ya tuzo

Description: Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amekabidhi Tuzo na Hati za Pongezi kwa Viongozi wa Mikoa ya Iringa na Njombe kwa kufaikisha na kutekeleza kikamilifu Mpango wa Usajili na kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto walio na Umri chini ya Miaka Mitano uliozinduliwa katika Mikoa hiyo tarehe 22 Septemba 2016.

Album Pictures