- Sheria ya Usajili wa Vizazi na Vifo (Sura ya 108).
- Sheria ya Ndoa na Talaka (Sura ya 29).
- Sheria ya Udhamini wa Umma (Sura ya 31).
- Sheria ya usimamizi mirathi (Sura ya 352).
- Sheria ya Madaraka na wajibu wa Mtawala Mkuu (Sura ya 27).
- Sheria ya Ufilisi (Sura ya 25).
- Sheria ya Makampuni (Sura ya 212).
- Sheria ya Kuasili Watoto (Sura ya 335).
- Sheria ya sheria ya muunganisho wa wadhamini (Sura ya 318).

