Usajili wa Talaka

RITA husajili Talaka na pia hutoa vyeti. Talaka husimamiwa na Sheria ya Ndoa, Sura ya 29. toleo la 2002.

Mahitaji/Taratibu:
  • Wasilisha hati ya talaka ambapo haki ya kukata rufaa haipo tena (Iwapo ni hati ya kigeni inahitaji kwanza kutolewa chini ya sheria inayohusika). Hitaji hili litakuwa si lazima iwapo Mahakama iliyovunja ndoa itakuwa ilimtumia Msajili Mkuu nakala ya amri ya kuvunja ndoa kama inavyotakiwa na sheria.
  • Wasilisha Nakala ya Cheti cha Ndoa.
  • Ada halisi ya kupata nakala ya cheti cha Talaka (ada ya sasa ni Tsh. 7000/=).

>>> MASWALI MBALI MBALI YANAULIZWA KUHUSU TALAKA

Rita Internal Search

Matangazo
Video / Picha
Sheria



Events Calendar
September 2010
SunMonTueWedThuFriSat
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930