Wiki ya utumishi ya umma Albamu Picha
SHERIA 5 NA 6, Afisa kutoka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Bw. Joseph Mwakatobe (wa kushoto) akifafanua jambo kwa mwananchi aliyetembelea banda la RITA katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma jijini Mwanza (Alhamisi, Juni 17, 2010). Wengine ni maafisa kutoka RITA Bi. Magdalena Gerald na Bi. Edna Kamara.
 
Picha za Albamu ya Rita