|
Siku ya mtoto wa Africa Albamu Picha
Siku ya Mtoto wa Africa,ni siku maalum ya kukumbuka matukio mbalimbali kuhusu watoto na haki zao.RITA ilibahatika kuhudhuria moja ya maonyesho hayo na pia moja ya huduma zetu ni ya haki ya mtoto ya kuwa na CHETI CHA KUZALIWA.(juni 2007 - DODOMA)
|