Mafunzo ya Usajili-Mbeya Albamu Picha
Mafunzo elekezi ya usajili wa vizazi na vifo kwa Makatibu tawala wa wilaya za mikoa ya Iringa,Mbeya na Arusha.Mafunzo haya yalikua ya siku 2 kuanzia tarehe 28-29. Mafunzo yalifunguliwa na Katibu Mkuu wa wizara ya Katiba na sheria.
 
Picha za Albamu ya Rita