Tarehe 21 Machi 2017, RITA inategemea kuanza utekelezaji wa Mpango wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa katika wilaya zote Wilaya tatu (3) zilizo na halmashauri 6 za Mkoa wa Shinyanga na Wilaya zote tano (5) zilizo na Halmashauri sita (6).
IJULIKANE KWAMBA kwa mujibu wa Sheria ya Muunganisho wa Wadhamini Sura ya 318 toleo la 2002 Kifungu cha 23(1) (d) NIMERIDHIKA kwamba Asasi /Taasisi zilizotajwa hapo juu zimeshindwa kutekeleza majukumu na wajibu wao kwa kushindwa kutoa taarifa ya mabadilik
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe amekabidhi Tuzo na Hati za Pongezi kwa Viongozi wa Mikoa ya Iringa na Njombe kwa kufaikisha na kutekeleza kikamilifu Mpango wa Usajili na kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto walio na Umri chi
Wito unatolewa kwa Bodi za Wadhamini wa Taasisi na Asasi za Kiraia kote Nchini kuhakikisha zinajitokeza na kuwasilisha taarifa za Taasisi zao kabla ya mwisho wa mwezi Oktoba mwaka 2016 kwani RITA bado inaendelea na zoezi la kufuta taasisi/asasi zote zili