Mkuu wa wilaya ya Sengerema Mhe Zainab Rajabu Telack akiwahutubia Wananchi waliojitokeza katika Sherehe za uzinduzi wa Mkakati wa Uasajili na kutoa Vyeti vya kuzaliwa bure kwa Watoto wenye Umri chini ya miaka Mitano kwa kifupi (U5BRI) hafla iliyofanyika