Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HELSB) wamesaini hati ya makubaliano ili kurasimisha ushirikiano wa taasisi hizo mbili za
Serikali kwa ajili ya kuwawezesha Waombaji wa Mikopo kupata huduma B
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umeadhimisha Miaka 10 tangu kuanzishwa pamoja na Kilele cha Wiki ya Utumishi wa Umma hapo jana tarehe 23 Juni 2016.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Fadhili Nkurlu akiwahutubia Wananchi wakati wa ufunguzi wa kampeni ya utoaji elimu na huduma ya kuandika na kutunza Wosia iliyofunguliwa wiki hii Jijini Arusha, kushoto kwake ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bw...