Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HELSB) wamesaini hati ya makubaliano ili kurasimisha ushirikiano wa taasisi hizo mbili za
Serikali kwa ajili ya kuwawezesha Waombaji wa Mikopo kupata huduma B
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Dkt Harrison Mwakyembe alipotembelea Ofisi za Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) Makao Makuu Jijini Dare es salaam kujionea Huduma mbalimbali zinazotolewa na Wakala.