Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HELSB) wamesaini hati ya makubaliano ili kurasimisha ushirikiano wa taasisi hizo mbili za
Serikali kwa ajili ya kuwawezesha Waombaji wa Mikopo kupata huduma B
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa akizindua Mifumo ya Kielekroniki ya utoaji wa huduma (TEHAMA) na kilele cha maadhimisho ya Wiki ya utumishi wa Umma hii leo katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma.