Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Kikao cha Kamati ya CRVS

Description: KAMATI YA KITAIFA YA URATIBU WA UTEKELEZAJI WA USAJILI WA MATUKIO MUHIMU KWA MWANADAMU YAKUTANA OFISI ZA RITA. =================================================== Wajumbe wa Kamati ya Uratibu wa Usajili wa Matukio Muhimu kwa Mwanandamu (CRVS) ambayo ni Vizazi, Vifo na sababu zake, Ndoa na Talaka imekutana hii leo jijini Dar es Salaam ili kufanya tathmini ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali za KAMATI. Kikao hicho cha siku moja kimefanyika katika Ukumbi wa mikutano wa RITA Makao Makuu na Kuhudhuriwa na Wajumbe kutoka Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali.

Album Pictures