Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           UPIMAJI VVU NA MAGONJWA SUGU

Description: Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bi Emmy Hudson akipima kwa hiari VVU na magonjwa sugu yasiyoambukiza mara baada ya mafunzo kuhusu kujikinga na namna bora ya kukabiliana nayo sambamba na kutoa msaada kwa wale wanaishi na magonjwa hayo mahala pa kazi, Mafunzo hayo yamefanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa mikutano wa RITA Makao Makuu Jijini Dar es salaam ambapo zaidi ya Watumishi 150 kutoka Wilaya mbalimbali za Tanzania Bara walipatiwa mafunzo pamoja na upimaji wa hiari.

Album Pictures