Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           WIZARA YAFURAHISHWA NA BODI

Description: Wizara ya Katiba na Sheria Imeridhishwa na utendaji kazi wa Bodi ya Ushauri ya Wizara hiyo inayomaliza muda wake kwa kufanikiwa kusimamia na kutekeleza maagizo yote manne yanayohusu Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA). Akizungumza hii leo Jijini Dar es salaam wakati wa kupokea Taarifa ya Bodi inayomaliza Muda wake Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Prof. Palabagamba Kabudi amesema kuwa Bodi hiyo imetekeleza majukumu yake ipasavyo kwa kusimamia na kuishauri Wizara kuhusu utendeji kazi wa RITA.

Album Pictures