Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           TAHADHARI KUHUSU CORONA

Description: Uongozi wa RITA unapenda kuwakumbusha wananchi kuzingatia maelekezo ya Serikali na Wataalamu wa afya kuhusu kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona (COVID 19) ikiwa ni pamoja na kuvaa BARAKOA wanapofika kupata huduma katika ofisi za Wakala nchi nzima.

Album Pictures