Swahili   |   English
Image caption.
Image subcaption.
Picha za Albamu
Album:           Warsha ya Viongozi wa Dini

Description: Wananchi wamehimizwa kujenga utamaduni wa kurasimisha taarifa au nyaraka muhimu zinazohusu familia na mali wanazomiliki na kuacha kuaminiana kienyeji kwani kwa kufanya hivyo kutasaidia kuondoa migogoro ya mara kwa mara inayotokea katika jamii inapotokea mwanandoa mmoja anapofariki na kuacha mali.

Album Pictures