Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           RC KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

Description: Wakala wa Usajili,Ufilisi na Udhamini [RITA] umeshiriki Mkutano wa Utatuzi Kero za Wananchi Uliozinduliwa na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila unaofanyika Wilaya ya Kinondoni kwenye Viwanja Vya Tanganyika Packers Kawe kuanzia Leo tarehe 04 mpaka 05 Novemba , 2023.

Album Pictures