Description:
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Juni 24, 2024 amezindia taarifa za takwimu za Usajili wa Matukio muhimu ya Binadamu na Takwimu ( vizazi, vifo na sababu zake, ndoa na talaka) katika hafla iliyofanyika Jijini Dodoma.