Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           VICOBA

Description: Zaidi ya wanachama wa 200 VICOBA kutoka sehemu mbalimbali jijini Dar es salaam na mikoa jirani hii leo wamepatiwa elimu juu ya usajili na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa, Ndoa na Talaka kwa lengo la kuwasaidia wakati wa shuguli zao za ujasilia mali ikiwemo mikopo, kumiliki mali , ardhi pamoja na haki ya kurithi mali ya mwenza pindi inapotokea amefariki dunia.

Album Pictures