Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Siku ya sheria

Description: Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe Alli Hassan Mwinyi akiongoza matembezi ya Wiki ya utoaji elimu ya sheria kuadhimisha kuanza mwaka mpya wa Mahakama (siku ya sheria) kutokea Mahakama ya kisutu hadi viwanja vya mnazi Mmoja hii leo tarehe 29/01/2017 Jijini Dar es salaam.

Album Pictures