Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MAFUNZO KUHUSU MIRATHI

Description: RITA – Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar wafanya mafunzo kuhusu usimamizi wa mirathi, lengo la Mafunzo hayo ni kubadilishana uzoezfu na kukuza ushirikiano uliopo baina ya ofisi hizo hasa ukizingatia mafungamano baina ya Wananchi wa Zanzibar na Tanzania Bara. Pia wamekubaliana kupitisha maazimio kumi na moja (11) katika ushirikiano huo likiwemo lile la kubadilishana uzoefu kila baada ya miezi sita.

Album Pictures