RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
`
Udhamini wa Familia
Hii ni Familia Trust (Dhamana ya Familia).

Kwa mujibu wa masharti yaliyomo katika Sheria ya Mdhamini wa Umma (Mamlaka na Majukumu), Sura ya 31, Toleo la 2002, Msimamizi Mkuu wa Mirathi amepewa mamlaka ya kusimamia mali zote zisizodaiwa baada ya kujiridhisha kwamba mmiliki au taasisi ya kisheria iliyokuwa na wajibu wa kusimamia mali hiyo haipo tena.

Kwa mujibu wa sheria hiyo hiyo, Msimamizi Mkuu wa Mirathi pia ana wajibu wa kulinda na kusimamia hisa au mali za mtoto mwenye umri chini ya miaka 18, pale ambapo hakuna ndugu au mlezi mwenye wajibu wa kusimamia na kulinda maslahi ya mtoto huyo.

Sheria ya Mdhamini wa Umma (Mamlaka na Majukumu) imemtambua na kumteua Msimamizi Mkuu wa Mirathi (Administrator General) kuwa Mdhamini wa Umma (Public Trustee).
Ona Ukurasa Kamili
Washirika wetu
Wadau Wetu