Usajili wa kuasili watoto unasimamiwa na�Sheria ya Kuasili Watoto (Sura ya 335 toleo la 2002).
Taratibu za kupata Cheti cha Kuasili.
- Wasilisha nakala ya uamuzi kutoka Mahakama Kuu.
- Wasilisha cheti cha Kuzaliwa cha Mtoto anayeasiliwa.
- Lipa ada halisi kwa ajili ya cheti cha kuasili mtoto (ada ya sasa ni Tsh.100,000/).

