Swahili   |   English
HUDUMA ZA RITA KIDIGITALI

Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) unapenda kuufahamisha Umma kwamba sasa unaweza kutuma maombi ya kupata huduma zifuatazo kwa njia ya Kidigitali:


HUDUMA ZA VIZAZI NA VIFO
Huduma zinazopatikana kidigitali:
 • 1. Cheti cha Kuzaliwa
 • 2. Cheti cha kuzaliwa cha zamani kwenda kipya
 • 3. Uhakiki wa cheti cha Kuzaliwa
 • 4. Cheti cha Kifo
 • 5. Cheti cha kifo cha zamani kwenda kipya
 • 6. Uhakiki wa cheti cha Kifo
Bofya hapa kupata huduma
HUDUMA ZA NDOA NA TALAKA
Huduma zinazopatikana kidigitali:
 • 1. Maombi ya leseni ya kufungisha ndoa
 • 2. Maombi ya Shahada ya kufungisha ndoa
 • 3. Kupata kibali cha kufunga ndoa ndani ya siku 7
 • 4. Kupata cheti cha kutokuwa na kipingamizi cha ndoa
 • 5. Kusajili ndoa inayodumu iliyokuwa haijasajiliwa
 • 6. Kibali cha kufunga ndoa mahali maalum
 • 7. Kusajili Ndoa
 • 8. Kusajili ndoa iliyofungwa nje ya nchi
 • 9. Kusajili Talaka
 • 10. Kusajili Talaka iliyotolewa nje ya nchi
Bofya hapa kupata huduma
HUDUMA ZA BODI ZA WADHAMINI
Huduma zinazopatikana kidigitali:
 • 1. Miunganisho ya Wadhamini
 • 2. Kutaarifu juu ya mabadiliko ya jina la chombo
 • 3. Marejesho ya wadhamini
 • 4. Taarifa za kubadili anuani
 • 5. Kupata kibali cha kumiliki ardhi
 • 6. Upekuzi wa taarifa za wadhamini
 • 7. Kuthibitisha nakala za nyaraka
 • 8. Kupata nakala za nyaraka
Bofya hapa kupata huduma