RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
Tangazo kwa wafungishaji ndoa
TAARIFA YA MWAKA YA UKAGUZI WA HESABU ZA WAKALA KWA MWAKA 2024
Orodha ya Wafungishaji ndoa walio na leseni hai hadi kufikia tarehe 30 Juni, 2025
RITA) imewasilisha taarifa ya utekelezaji na usimamizi wa Bodi za Wadhamini wa Taasisi za Kidini, vyama vya Siasa, vyama vya Michezo na taasisi za kijamii kwa Kamati ya Bunge Utawala, katiba na Sheria.
Waziri wa Sheria na Katiba, Dkt. Damas Ndumbaro akihutubia wajumbe wa Bodi za wadhamini Jijini Dar es Salaam.
KIKAO CHA WADAU WA BODI ZA WADHAMINI
Kabidhi Wasii Mkuu Bw. Frank Kanyusi leo Septemba 23, 2024 Jijini Dodoma amefungua kikao kazi cha kuandaa sera ya uwajibikaji kwa jamii.