Kabidhi Wasii Mkuu Bw. Frank Kanyusi leo Septemba 15, 2025 amefanya kikao na wadau jijini Arusha kujadili na kupitia upya huduma za wakala kwa lengo la kuziboresha.