Swahili   |   English
Usajili wa Talaka


TALAKA

RITA husajili Talaka na pia hutoa vyeti. Talaka husimamiwa na Sheria ya Ndoa 1971, Sura ya 29. toleo la 2002.

Mahitaji/Taratibu:
  • Wasilisha hati ya talaka ambapo haki ya kukata rufaa haipo tena (Iwapo ni hati ya kigeni inahitaji kwanza kutolewa chini ya sheria inayohusika). Hitaji hili litakuwa si lazima iwapo Mahakama iliyovunja ndoa itakuwa ilimtumia Msajili Mkuu nakala ya amri ya kuvunja ndoa kama inavyotakiwa na sheria.
  • Wasilisha Nakala ya Cheti cha Ndoa.
  • Ada halisi ya kupata nakala ya cheti cha Talaka (ada ya sasa ni Tsh. 20000/=).

>>> MASWALI MBALI MBALI YANAULIZWA KUHUSU TALAKA