Swahili
|
English
Maulizo Mfululizo
|
Picha Zetu
|
Video Zetu
Wakala wa
Usajili
Ufilisi na
Udhamini
MWANZO
KUHUSU SISI
Historia
Asasi
Bodi ya Ushauri ya Wizara (MAB)
Utawala
USAJILI
Vizazi
Vifo
Ndoa
Talaka
Kuasili Watoto
UFILISI
Ufilisi watu Binafsi
Ufilisi wa Kampuni
UDHAMINI
Usimamizi wa mirathi
Mdhamini wa Umma
Miunganisho ya Wadhamini
Wosia
MIRADI YA RITA
Mkakati wa Usajili wa Watoto chini ya miaka Mitano
Mkakati wa Usajili wa Watoto walio na Umri kati ya Miaka 6-18
FOMU
GHARAMA
Usajili za gharama
Gharama za wosia
Gharama za ufilisi
Gharama za udhamini
eRITA
MAWASILIANO
Fomu ya Maoni
Ramani ya Eneo
Ofisi za Tawi
Tuma Malalamiko
FRANK KANYUSI FRANK
KABIDHI WASII MKUU NA AFISA MTENDAJI MKUU RITA
Habari na Makala
16 July, 2024
pdf
| Size: 9.3 Mb
RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU KUHUSU UKAGUZI WA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA ULIOISHIA JUNI 30,2023
13 July, 2023
pdf
| Size: 2.5 Mb
BODI YA MIKOPO HESLB KUFUNGUA RASMI DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU MWAKA WA MASOMO 2023/2024
04 July, 2023
pdf
| Size: 3.7 Mb
UZINDUZI WA MPANGO WA USAJILI NA KUWAPATIA VYETI VYA KUZALIWA WATOTO WA UMRI CHINI YA MIAKA MITANO MKOANI KAGERA
»
Habari na Makala Zaidi...
Sheria
Sheria Mbalimbali za Serikali zinazoongoza RITA katika Kazi zake.
Facebook
Twitter
Youtube
Tweet
Albamu ya Picha
UZINDUZI TAARIFA ZA USAJILI
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Juni 24, 2024 amezindia taarifa za takwimu za Usajili wa Matukio muhimu ya Binadamu na Takwimu ( vizazi, vifo na sababu zake, ndoa na talaka) katika hafla iliyofanyika Jijini Dodoma.
[ View Pictures..... ]
RITA AWAY DAY 2024
Kabidhi Wasii Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bw. Frank Kanyusi Juni 23, 2024 ametoa maagizo kwa watumishi wote wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kuzingatia maadili ya utumishi wa Umma pamoja na kuchapa kazi kwa kuzingatia weledi, ubunifu na kutanguliza uzalendo katika kutoa huduma bora kwa Wananchi. Bw. Kanyusi ameyasema hayo Jijin Dar es Salaam wakati akizungumza na Wafanyakazi katika mkutano wa mwaka uliojumuisha watumishi kutoka Wilaya zote hapa nchini. "Fanyeni kazi kwa bidii na kujituma huku mkitambua sheria na kanuni za utumishi wa umma, jiepusheni na vitendo vya rushwa, kauli mbaya kwa wateja na utoro kazini kwani hivyo vyote husababisha kuwakosesha haki wananchi lakini pia ni utovu wa nidhamu kwa mtumishi wa umma." Alisema Bw. Kanyusi. Kwa upande wake Naibu Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Irene Lesulie amesema kwa sasa mazingira ya utoaji huduma yanaendelea kuboreshwa kwa wafanyakazi na hivyo kuhakikisha muda na rasilimali zilizopo zinatumika vizuri katika kutekeleza majukumu ya kila siku. " Wote ni mashahidi tumepatiwa watumishi wapya na kwa upande wetu tumewapatia vitendea kazi zikiwemo kompyuta mpakato ili kuwezesha kutoa huduma kidijitali kupitia eRITA katika Wilaya zote." Alisema Bi. Lesulie.