RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
Mkutano wa Wajumbe wa Bodi za Wadhamini, utafanyika tarehe 13 Machi, 2025 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.