We provide services for the registration of marriage and divorce together with the licensing of all religious leaders.
Legal assistance on writing and storage of Will.
Under Five Birth Registration Initiatives (U5BRI)
Vision and Mission
Vision
RITA's vision is to become the most efficient and effective Registration, Insolvency and Trusteeship service provider.
Mission
RITA's mission is to ensure justice through provision of effective and efficient management of information on key life events, Insolvency and Trusteeship services so as to contribute to the National development.
Recent Photo Gallery
22 January, 2023WIKI YA SHERIA 2023
RITA YASHIRIKI WIKI YA SHERIA 2023.
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini(RITA)unashiriki Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yanayofanyika kuanzia tarehe 22 -31 Januari 2023 katika Viwanja vya Nyerere Square mkoani Dodoma, Viwanja vya Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam pamoja na viwanja vya General Mayunga mkoani Kagera.
Wiki ya Sheria imezinduliwa leo ambapo Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo kitaifa mkoani Dodoma alikuwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango.
Katika mabanda ya RITA huduma mbalimbali zitatolewa ikiwa ni pamoja na elimu kuhusu huduma za Wakala, ushauri wa kisheria bure kuhusu Wosia na mirathi, Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa pamoja na maelezo ya kina kwa Bodi za wadhamini wa Taasisi kuhusu namna ya kuhuisha katiba zao.