Tunatoa huduma ya usajili wa ndoa na talaka pamoja na kuwapatia leseni viongozi wote wa madhehebu ya dini.
Msaada wa kisheria na huduma kuhusu kuandika na kuhifadhi Wosia
Tunatoa huduma ya kuandika na kuhifadhi wosia.
Mkakati wa usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Watoto wa Umri chini ya miaka Mitano(U5BRI)