Swahili   |   English
Image caption.
Image subcaption.
Picha za Albamu
Album:           KAMPENI YA USAJILI - CHATO

Description: Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe Shaaban Ntarambe akiwahutubia Wananchi waliojitokeza katika uzinduzi wa Kampeni maalum ya Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa hii leo katika viwanja vya Stendi ya zamani Wilayani humo, RITA inaendelea kutoa huduma ya usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa katika kampeni kama hizi Wilaya mbalimbali Tanzania Bara na sasa ni zao ya Wananchi wa Chato Mkoani Geita.

Album Pictures