Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           CRVS DAY

Description: Hafla ya CRVS Day ilifanyika katika Shule ya Sekondari ya WAMA – NAKAYAMA iliyopo katika Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani na Mgeni Rasmi alikuwa Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Mama Salma Kikwete. Katika hafla hiyo zaidi ya wanafunzi 164 wa awali waliweza kukabidhiwa Vyeti vya Kuzaliwa bila malipo ikiwa ni mchango wa RITA , UNICEF na Bloomberg Data for Health kama sehemu ya maadhimisho.

Album Pictures