Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2020

Description: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amlaani vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyofanywa na baadhi ya wananchi dhini ya watoto wa kike na wale wakiume ambao wamekuwa wakidhalilishwa kwa kuwaingilia kinyume na maumbile. Ameyasema hayo leo mkoani Simiyu wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kitaifa Mkoani humo.

Album Pictures