Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           Mkutano na Wadau Jijini Arusha

Description: Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umekutana na wadau wa Usajili wa Matukio muhimu ya Binadamu na Takwimu na masuala ya utambuzi na kukubaliana kufanya kazi kwa pamoja na kuweka mikakati madhubuti itakayowezesha kusajili vizazi katika maeneo ya Mikoa inayopakana na nchi jirani bila ya kuathiri sheria na usalama wa nchi. Taasisi zilizoshiriki ni pamoja na Ofisi ya Raisi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Idara ya Uhamiaji, Mamlaka ya Vitambulisho vya Tifa (NIDA) pamoja na wawakilishi kutoka baadhi ya mikoa inatotekeleza Mpango wa Usajili wa Watoto.

Album Pictures