Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MHE. WAZIRI ATEMBELEA RITA

Description: Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Naibu waziri Mhe. Geoffrey Mizengo Pinda wametembelea Ofisi za Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kukagua na kujionea utekelezaji wa majukumu ya kila siku ya Taasisi hiyo kama sehemu ya mikakati yake ya kuzitembelea Taasisi zote zilizokuwa chini ya Wizara yake na kutatua changamoto mbalimbali zinazokwamisha utendaji wa Taasisi hizo

Album Pictures