Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           ARUSHA MANYARA U5BRI

Description: Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geoffrey Mizengo Pinda hii leo amezindua rasmi mpango wa usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa Watoto wa umri chini ya miaka mitano wa Mikoa ya Arusha na Manyara katika hafla iliyofanyika Jijini Arusha. Kupitia mpango huo kila mtoto mwenye umri chini ya miaka mitano na wale wanaozaliwa kila siku watasajiliwa na kupatiwa vyeti vya kuzaliwa bure na zoezi hilo litakuwa la kudumu katika vituo vya tiba vinavyotoa huduma ya mama na Mtoto pamoja na ofisi za watendaji kata.

Album Pictures