RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umeshiriki hafla ya kubadilishiana hati ya ushirikiano na Bodi ya Mikopo wa Elimu ya Juu (HESLB).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Chacha Maswi, leo Agosti 06, 2024 ametembelea banda la RITA katika maonesho ya wakulima nanenane na kukagua jinsi ya utoaji wa elimu na huduma kwa wananchi unavyoendelea.