RITA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Registration Insolvency and Trusteeship Agency
Mafunzo kuhusu usajili wa ndoa yamefanyika kwa viongozi wa dini mkoani Singida, leo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wafungishaji ndoa kufahamu sheria, taratibu na mfumo wa kidijitali wa eRITA ambao unawezesha kupata huduma za ndoa kama vile leseni na maombi ya shahada za ndoa.