RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
September
02
2026
RITA YATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA DINI MKOANI SINGIDA KUHUSU USAJILI WA NDOA
News & Update
`

Mafunzo kuhusu usajili wa ndoa yamefanyika kwa viongozi wa dini mkoani Singida, leo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wafungishaji ndoa kufahamu sheria, taratibu na mfumo wa kidijitali wa eRITA ambao unawezesha kupata huduma za ndoa kama vile leseni na maombi ya shahada za ndoa.