MUUNDO WA WAKALA WA USAJILI UFILISI NA UDHAMINI
(Ukidhinishwa na Rais tarehe 1 Aprili, 2021)
Viwango vya utoaji huduma, ambavyo tunaamini wadau wetu wanayo haki ya kuyatarajia, na kuelezea mifumo ya kushughulikia malalamiko na maoni endapo mambo yatakwenda kombo.