RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
August
12
2018
CRVS DAY
News Update
Dar es Salaam



`
Hafla ya CRVS Day ilifanyika katika Shule ya Sekondari ya WAMA – NAKAYAMA iliyopo katika Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani na Mgeni Rasmi alikuwa Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Mama Salma Kikwete. Katika hafla hiyo zaidi ya wanafunzi 164 wa awali waliweza kukabidhiwa Vyeti vya Kuzaliwa bila malipo ikiwa ni mchango wa RITA , UNICEF na Bloomberg Data for Health kama sehemu ya maadhimisho.
View Full Page