RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
September
17
2018
MKOA WA KAGERA NA KIGOMA
News Update
Dar es Salaam



`
Mikoa ya Kagera na Kigoma kwa pamoja inatarajiwa kutekeleza mpango wa usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa Watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano bila ya malipo mwanzoni mwa mwezi Octoba 2018, hayo yamebainishwa wakati wa semina ya siku moja ya kuwajengea uwezo viongozi wa Mikoa hiyo iliyofanyika Mkoani Kagera Tarehe 14 na Kigoma 17 Septemba 2018.
View Full Page