RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
February
23
2021
MAFUNZO YA USAJILI MWANZA
News Update
Dar es Salaam



`
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella ameaagiza watendaji wote wanaohusika na usajili wa Vizazi na Vifo kuweka mikakati itakayowezesha wananchi katika maeneno yao kusajiliwa ili kuwaondolea usumbufu wa kutokuwa na nyaraka mara wanapohitaji huduma nyingine.Pichani Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe.Dkt. Philis Nyimbi akisoma hotuba kwa niaba yake.
View Full Page