RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
March
17
2021
Warsha ya Viongozi wa Dini
News Update
Dar es Salaam



`
Wananchi wamehimizwa kujenga utamaduni wa kurasimisha taarifa au nyaraka muhimu zinazohusu familia na mali wanazomiliki na kuacha kuaminiana kienyeji kwani kwa kufanya hivyo kutasaidia kuondoa migogoro ya mara kwa mara inayotokea katika jamii inapotokea mwanandoa mmoja anapofariki na kuacha mali.
View Full Page