RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
July
02
2021
RITA-BODI YA BIKOPO
News Update
Dar es Salaam



`
HESLB YAFUNGUA DIRISHA KWA WAOMBAJI MIKOPO ELIMU YA JUU 2021/2022 Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) hii leo imefungua rasmi dirisha la kupokea maombi ya Mikopo na kwamba imepanga kutumia bajeti ya kiasi cha Shilingi 570 Bilioni katika mwaka wa masomo 2021/2022 na kuwanufaisha zaidi ya wanafunzi 160,000.
View Full Page