RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
April
28
2022
Wadau Tathimini na Ufuatiliaji
News Update
Dar es Salaam



`
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umeshiriki kongamano hilo ikiwakilishwa na Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Angela Anatory akiwa ameambatana na wataalam wa Ufuatiliaji na Tathmini. Vile vile Wakala umekabidhiwa tuzo ya kuthamini mchango wake kufanikisha kongamano hilo lililofanya ukumbi wa PSSF Jijini Dodoma.
View Full Page