RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
June
03
2022
UZINDUZI USAJILI WATOTO TABORA
News Update
Dar es Salaam



`
Mpango wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Watoto wa umri chini ya miaka mitano wa Mkoa wa Tabora umezinduliwa rasmi hii leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.). Mkoa wa Tabora una wilaya 7 na halmashauri 8 ambazo zitatekeleza Mpango huo kwa kutumia vituo vya Tiba na Ofisi za Watendaji Kata ambavyo jumla yake ni 542 na kutarajia kusajili watoto zaidi ya 549,167 walio na umri chini ya miaka mitano.
View Full Page