RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
June
27
2022
Kikao cha tathimini Manyara
News Update
Dar es Salaam



`
Kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango wa Usajili wa Watoto wa Umri chini ya Miaka Mitano kimefanyika Mkoani Manyara na kubainisha zaidi ya Watoto 259,317 sawa na asilimia 80.2 wamesajiliwa na kupata vyeti vya kuzaliwa Mkoani humo katika kipindi cha mwaka mmoja tangu ulipozinduliwa Mwezi Mei 2021.
View Full Page